Quote:
Originally Posted by Mishky
Eeh mwanakwetu. Au sio Genuwine??! Maba'wadogo siku hizi bwana wala unga kwa hivyo hawana nguvu tena. Itabidi mabinti watie fora kitandani au sio?....Ukiteleza tu ukampa nafasi usije ukalia maanake mashangingi kibao. Ndio maanake ati. eeh..! Mchezo si kidogo. Mtajiju.
|
bi mdogo...sdolphine...namwambia samahani honey!!! kwenye kuku wengi..hatumwagi mtama.
Yaani leo hii bado hajakunata. Hata ukisema miili iko na migogoro...na mabwana wala unga...ndio wampoteza zaidi. Na sijui kama anajua manake mashangingi.
Lakini safari hii....atajiju!!!!
