miti ni dawa -
04-19-2006, 07:13 PM
yeah eeeh miti ni dawa
mastick stick ni dawa
na ndio maana wanagawa
ka nyuki wanafuata ile hawana
na si tunawanyaka na mapaws ka za pantha
kuchomeana waya si mbaya
bora kwa game leta fire
kupata ukimwi bahati mbaya
.....
mambo bado!!!
hii 2 ni sample,example
ok,biashara yangu kulia vaco
shughulikia yako
juu nitakurwada na mastingo ka za phantom
morale ninayo bigi ka china wall
nimekaa upande ka paul wall
nacheki temp za mafans ka sean paul...haha mdabu aka mtu wa watu
una swali? nikujibu na masabu nikikugee mabobo na adabu
|