ROUND HII!! -
04-12-2006, 06:46 PM
round hii round hii joh! nikungori
kila siku kujawa na maworries
kuchanganishwa akili na different stories
history,herstory,their story,
na round hii usitake jua my story
nikishika mic mkononi
maneno matamu mdomoni
niko mataani lakini sitoki
nisha hustle kipedy na uconcodi
landlord ndio huyo ananidai kodi
round hii nikimrusha analia mpaka kwa koti
natry kutulia ka moody Awori
nashangaa ka nitaona kesho jioni
nina maadui wengi sijui
na ndio maana mi kwa hii life mi mrui
hasira ka ya mvuvi
kurudi nyumbani na nyuzi
samaki zilikuwa tahamaki
|