|
|||
Not Ranked
:
0 score
yeah jina mdabuu a.k.a. mtu watu jina hamjaskia
lakini wacha nikuwe sincere jina mdabu mtaiiskia by the end of the year mamcs hamna baha nimekuja kuwakatsia raha mnakuwa restless mki haha mkiniona mnakosa ya kusema msha katikiwa na hewa mnahema mnatoa tu mahiccupps mafans wakiruka ruka mko down mki do ma sit ups aibu kibao mpaka makemfa wanajipa nashangaa ka noi ingekuwa inatolewa kwa jiko, ni machali wangapi wangeweza kushika mwiko mkono isha chomeka imeshura ushaanza kuhop ka chura yeah nakumbuka siku ya kwanza kukucheki nilikuwa na maboyz base tumeketi tulikuwa manduku mbaya tukiirarua na makuku mbaya mogoka ilikuwa inatubamba mbaya macho nilikuwa nimekondoa kwa hivyo nilikuwa naona poa |
![]() |
| Tags |
| bongo, chemsha, dadi, mdabu, tena |
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|
All times are GMT -4. The time now is 01:54 PM.








Linear Mode
