mdabu tena chemsha bongo dadi -
04-11-2006, 02:49 PM
yeah jina mdabuu a.k.a. mtu watu jina hamjaskia
lakini wacha nikuwe sincere
jina mdabu mtaiiskia by the end of the year
mamcs hamna baha
nimekuja kuwakatsia raha
mnakuwa restless mki haha
mkiniona mnakosa ya kusema
msha katikiwa na hewa mnahema
mnatoa tu mahiccupps
mafans wakiruka ruka mko down mki do ma sit ups
aibu kibao mpaka makemfa wanajipa
nashangaa ka noi ingekuwa inatolewa kwa jiko,
ni machali wangapi wangeweza kushika mwiko
mkono isha chomeka imeshura
ushaanza kuhop ka chura
yeah nakumbuka siku ya kwanza kukucheki
nilikuwa na maboyz base tumeketi
tulikuwa manduku mbaya
tukiirarua na makuku mbaya
mogoka ilikuwa inatubamba mbaya
macho nilikuwa nimekondoa
kwa hivyo nilikuwa naona poa
|