ahhhhhhhhh -
10-30-2005, 09:27 AM
wewe "huvuta" gomba? na pia "wasaga" shada,
huwezi andika kitu poa bila kujitia hizo moto,
na bado ukijichoma zako hazileti joto?
skiza basi,utagonga miaka lakini bado utabaki mtoto.
mimi mwalimu tu,nawaelimisha kuhusu hizo vitu.
|