Firewall! -
10-24-2007, 12:45 PM
WACHAMAA... pwana nduku sangu. nani ameona vile Harrison Ford anapambana na makaidi ambao wamechukua bibi na watoto wake mateka. lo lo lo... hiyo ndiyo movie yangu ya mwaka. mimi napendanga harrison ford, halafu ninapenda bukali na kuku pia. pia natuma salamu kwa mashabiki wote huko ebusakami, shamakhokho na Steni Kisa massive. wilfred makokha... si nilikwambia huko majengo mimi nitakuwa dotikomu nikikuwa mkubwa?... umeona sasa?
Last edited by He Goat : 10-24-2007 at 12:47 PM.
|