mchongoano -
05-02-2008, 04:19 AM
Ati first time yako kubuy gari ulisema ufungiwe unaenda mbali
Ati kwenu mko upto date mpaka watoi wenu wakipigwa wana vibrate badala ya kulia.
naskia mko advanced mpaka nyi huenda loo via bluetooth
Ati naskia nyi ni wengi mpaka nyi hukunywa chai na sprinkler
first time uliona soda,ulifinya finya kujua gani ni ripe
Ati naskia we ni fala mpaka ulienda cyber ukaulizia stamp ati ndio uweke kwa email
Nilikupata umezubaa ukiangalia chupa ya orange juice...ati juu imeandikwa "concentrate"....
Naskia wewe ni fala mpaka ulienda parallel sunday school
naskia simu yako iko na slot ya coins.....
una kichwa sooo ukithink kuna echo....!
ati you r so ugly vile ulizaliwa uliwekwa kwa incubator tinted ndio usishtue watoi wengine.....ha,haaaaa!!
ati umekonda mpaka ukivaa vest bado unakunja sleeves
Ati mko advanced mpaka T.V yenu iko na mouse
|