Mashada - African Chat, Discussions, Blogs, Photos, Classifieds & More!
 
HOME Forums Chat Photos Blog Events Calendar Directory

Go Back   Mashada Forums > Society & Culture > Maisha ya Kenya > ......................
Reply
 
LinkBack Thread Tools Display Modes
(#1 (permalink))
Old
Senior Member
spider-ndwalz
 
Posts: 696
Join Date: Mar 2005
Location: Texas
Report Post
Default ...................... - 08-05-2005, 04:49 PM

Nimkumbukapo mama, machozi hunijia kwa ghafla na huzuni hunijaza moyoni. Wakati mwingine huwa namwona kwa ndoto akinyoosha mkono wake ili niupokee. Na kila ninapothubutu kufanya hivyo, siwezi kuufikia. Mawazo yake mama hunijia kwa ghafla, na simanzi chungu nzima hunijaza moyoni. Baba je? Baba ni jina ambalo silifahamu kwa ukamilifu..ni jina linalojaza akili yangu na maswali tele. Mwaka mmoja sasa umepita na maisha ni yale yale ya kusaka, kufa na kupona, na matatizo mengine tofauti . Wakati mwingi mimi huja hapa msituni na kuketi katika jiwe hili. Kuwaza na kuwazua kumenichosha . sijijui tena wala sijielewi. Mbele na nyuma ni mamoja kwangu. Nimeketi hapa kwa masaa mawili huku fikra chungu nzima zikinivamia. Nakumbuka mama akiniambia nisiwe nikiwaza sana , lakini ingekuwaje? Afya ya mama iliendelea kuzorota na daktari wakawa hawana faida zozote. Nakumbuka siku hiyo kana kwamba ilikuwa jana. Katika chumba chetu kimoja, nilikuwa nimemlaza mama kwenye kiti na kumfunika na blanketi moja ambayo ilikuwa imechakaa kiasi. Nakumbuka waziwazi ambavyo mama angekohoa kwa masaa mengi. Dawa hazikuweza tena kumtibu. Nilimtazama mama na ingawapo nilijaribu kuyaficha machozi yangu, sikuweza tena. Hata hivyo, ningewezaje kuyaficha huku nikitazama mfupa huu uliolala kitandani? Mama aliaga dunia saa nane za usiku mwaka wa 10 Mei 1988. Kifo kilimbeba ghafla bin vu alipokuwa amelala na sikufahamu kuwa ameaga dunia mpaka asubuhi siku iliyofuata. Ndipo sasa nikafahamu waziwazi maana ya msemo: maisha ni kama upepo- huja na huenda.
Masaa matatu sasa, nimeketi hapa. Naitazama bundiki hii iliyo mkononi mara kwa mara. Bundiki hii ina risasi moja tu; na risasi hiyo itakuwa wokovu wangu. Nilipataje bunduki hii wauliza? hii bunduki ni ya rafiki yangu mpendwa hasan, aliyeuliwa na majambazi. Alinipatia bunduki hii kama zawadi, ya urafiki tulioukuwa nao. Hata hivyo, sijawahi kumwuuliza kwa nini alinipatia bunduki kama zawadi. Ni jambo la kushangaza. Ama labda aliiona siku hii ikirejea? Siwezi jua. Aaah… Hasan, kijana mmoja mnyamavu na mwenye roho safi ajabu..rafiki kweli.
Wakati wangu sasa umewadia. Dunia naiaga. Sijijui, sijitambui, lakini nafahamu kwa akili timamu kuwa siwezi tena kuendelea. Hasan…bunduki ya rafiki yangu mpendwa, itakuwa wokovu wangu.


Maisha ni kusaka, kufa na kupona- maisha ni kama bendera- hupeperushwa pande zote,
wakati wowote.


( kifungu hiki ni cha uzushi(fiction)-wahusika wote kadhalika- kimeandikwa kwa ajili ya kukitukuza Kiswahili bila sababu nyinginezo za kuhatarisha)
 
Reply With Quote
(#2 (permalink))
Old
Senior Member
supermann
 
Posts: 2,327
Join Date: Jan 2004
Location: somewhere
Report Post
Default RE: ...................... - 08-06-2005, 12:27 AM

grammar 101,

paragraphs....
 
Reply With Quote
(#3 (permalink))
Old
Senior Member
Beenie_gal is an unknown quantity at this point
 
Posts: 2,166
Join Date: Jan 2005
Location: London, UK.
Report Post
Default RE: ...................... - 08-06-2005, 04:20 AM

this reminds me of insha in primo....GOD.....those memories, manze i used 2 fail swa!!!
 
Reply With Quote
(#4 (permalink))
Old
mahatma
 
Posts: 1,829
Join Date: Aug 2004
Location: .
Report Post
Default RE: ...................... - 08-08-2005, 02:17 AM

>this reminds me of insha in primo....GOD.....those memories,
>manze i used 2 fail swa!!!


So, what did you pass in?
 
Reply With Quote
(#5 (permalink))
Old
Senior Member
Beenie_gal is an unknown quantity at this point
 
Posts: 2,166
Join Date: Jan 2005
Location: London, UK.
Report Post
Default RE: ...................... - 08-08-2005, 10:21 AM

>>this reminds me of insha in primo....GOD.....those
>memories,
>>manze i used 2 fail swa!!!
>
>
>So, what did you pass in?

I used 2 pass enlish and c.r.e........those r the only subjects i could atleast get an 80% and above

*once u go black u never go back!!*
 
Reply With Quote
(#6 (permalink))
Old
Moderator
Nxele is an unknown quantity at this point
 
Posts: 2,721
Join Date: Mar 2004
Report Post
Default tough guy - 08-08-2005, 10:32 AM

I was the main guy in the MPC combination

Metalwork , Plumbing & Capentry , used to charaza those subjects like there was no tommorow .
 


Nxele Ncquobile Nqakule
2B or not 2B


Until at that point when the lions will have someone to chronicle their tales , the hunter will always be glorified
Reply With Quote
(#7 (permalink))
Old
Senior Member
supermann
 
Posts: 2,327
Join Date: Jan 2004
Location: somewhere
Report Post
Default RE: tough guy - 08-08-2005, 09:19 PM

>I was the main guy in the MPC combination
>
>Metalwork , Plumbing & Capentry , used to charaza those
>subjects like there was no tommorow .



LMAO!!!!!!!!!

a school in western i presume?
 
Reply With Quote
(#8 (permalink))
Old
mahatma
 
Posts: 1,829
Join Date: Aug 2004
Location: .
Report Post
Default RE: ...................... - 08-09-2005, 12:54 AM


>>I used 2 pass enlish and c.r.e........those r the only
>>subjects i could atleast get an 80% and above
>


One more question, which school was this?
 
Reply With Quote
(#9 (permalink))
Old
mahatma
 
Posts: 1,829
Join Date: Aug 2004
Location: .
Report Post
Default RE: tough guy - 08-09-2005, 12:57 AM

>>I was the main guy in the MPC combination
>>
>>Metalwork , Plumbing & Capentry , used to charaza those
>>subjects like there was no tommorow .
>
>
>
>LMAO!!!!!!!!!
>
>a school in western i presume?
>


Anti-nyita! That's Mathematics, Physics & Chemistry!
 
Reply With Quote
(#10 (permalink))
Old
Senior Member
Wired Wierd
 
Posts: 851
Join Date: Oct 2003
Location: .
Report Post
Default RE: ...................... - 08-09-2005, 05:34 AM

>
>>>I used 2 pass enlish and c.r.e........those r the only
>>>subjects i could atleast get an 80% and above
>>
>
>
>One more question, which school was this?

Hehehehe. Me thinks she has a "crash" on you.

What's this place come to anyway?



 


Step away from that idiot.. I'm certified!
Reply With Quote
Reply


Thread Tools
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

vB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are On
Pingbacks are On
Refbacks are On






SEO by vBSEO 3.1.0