Kiswahili kitukuzwe... lugha ya taifa.... -
04-26-2002, 03:54 PM
Just had to share this with ma peeps here in mashada. How well do y'all know your national language???
Subject: Learn Swahili Please
Utandawazi na soko huria na kukomaa kwa ukiritimba, kumesababisha
teknologia kuenea kwa urahisi. Haiyumkiniki,kuimarika na kuboreka kwa
miundo mbinu ya mawasiliano pamoja na washika-dau katika sekta hiyo ndio
matokeo halisi ya njia mbadala na anuwai katika mawasiliano.
Mathalani, katika ulimwengu huu pepe siyo lazima uwe na Nukunishi ili
kupeleka ujumbe wa maandishi, unachohitaji ni kuwa tu na Tarakilishi,
ambayo imeungwa kwenye mdahalishi na unachotakiwa kufanya nikuingia kwenye
Tovuti husika, na kutuma barua pepe.
UTANDAWAZI - Globalisation
Miundo-Mbinu - Infrastructure
Washika-Dau -Stakeholders
Ukiritimba - Monopoly
Kujipa Ukiritimba - Monopolize
Mbadala - Alternative
Ulimwengu pepe - Electronic world
Nukunishi - Fax Machine
Nukushi - Fax
Tarakilishi - Computer
Mdahalishi - Internet
Tovuti - Website
Barua Pepe - Electronic-Mail (email)
Mtandao - Network
Ati what Language did you say this was????!!!
and you thought you knew the language, hehehe!!!
Have a nice weekend!!!!!
|