[quote=Genuwine;694364]Naiima...wacha ujinga!! manze Banda ndio alitengeza nephew a mine ma-dreadlocks. Yuko majuu, lakini alizikata juu anaenda mtaani August na hataki kuwa associated na mongich. Na sistake manze...wacha tuu. Nitatoa thread kuhusu madem wa mtaa. Bado nafanya research.
Manzee ninaona area ile umetoka. Kama wewe ni neighbour wa Sabach, unajua brathake tulikuwa tunamwita 'Power'. Basi unajua ina Okong'o, Azende (mgongo mture!!!), Onyii Mabati na kina Doti (Josto). Tumekula nao mihogo za Ngaruhia hapo karibu owanjo soo. Ati this days inaitwa 'camp Toyoyo'
Gosti (Mulee) ni coach wa Tusker FC. Chali yangu sana. Tulikuwa na yeye Jeri seko. By the way amekuwa coach wa national team until recently - so bado yuko hai and doing very well.
U just made my day.
Manze we ni ogopa team u know all the pple i grew up with plus ma big bro and cozos. I can't wait to see thread ya mamanzi wa mtaa itakuwa interesting sana. Kumbe ulikuwa unaenda kunyuwa supu na motura bama na hiyo rende. Ma bad i was not sure abt mulee but kulikuwa na matanga mob kwao. Most of the guyz i know i think their very younger than u maybe u might not know them. I know oti father he was a very good friend of ma bros basi unajua akina chacha, geture na bro wake maich manze list is long.