Milimani Class of 95 -
08-27-2004, 11:59 AM
Steven Kamutu, Raphael na Chris Ohabo bado wako Kenya unless nimekosea.
Kumbuka Joel na Julius aka kiwete, Job, Monty(bado ako Kenya) na yule ethiopian supuu.
Halafu kulikuwa na siku za upisha wawawawawa..ati home science...
Na pano ya kushika maskio ama kupiga magoti kwa zile ma slabs.
Least we forget michezo za paa, bano, three handing, rugby, bladder, kati, hop skotch.
|