|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 569
Join Date: Jun 2004
Location: .
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
07-27-2004, 04:55 PM
we rashad
sema
kwani ulikua unaousha nguo na ushindi ama ni ile sabuni ya kipande aka panga.the one iko na colour mob.u jus cut it piece by piece.and hehe utikoka chuo baada ya ball u shower with protex coz ya kujikuna coz of manyasi.if symptoms persist u go to the dispendary in gikosh unapiga laini ingine refu.
kuna wathii wengine walitokea walikua wakipika mandao zingine soo hapo easic from 12th street and up.those jama walikua na mini hoteli kwa roadside.ni kabench,brika,na jiko,na mandao,na sambuu.hehee
ulikua unadish hizo anjera hapo ramandah?damn those ethiopian dishes zilikua poa
na hiyo sunset iko wapi?try to remind me rashad
easich manze is the place to be
|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 1,878
Join Date: Nov 1999
Location: .
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
07-27-2004, 05:44 PM
Sunset iko hapo 4th karibu na Sainty Seco.....Kwani mshakuwa ma weri tena?????Lol....Niaje ma mbuyu lakini, mko poz?????
|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 1,532
Join Date: Dec 2003
Location: .
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
07-29-2004, 12:18 PM
@ 10 inch ..
umetokea wapi?
you sound familiar....
hehe hiyo sunset wachana nayo..
@Kissy..unakumbuka zile rental cars? pale isich karibu na buffalo?
ati unarent dinga ya kobole unadrive kutoka ainsworth primo,unaishia pumwani grounds/sportiff,juja primo,pango halafu unarudi...damn!
maze na miss zile ndao za gikosh...kwa zile hoteli/kiodhe za uko down karibu na kanaroo/nairobi river...pali wale wamasa walikua wakikinda skuma wiki....uko chini kabisa,wacha gikosh ya juu,nasema ile ya down kabisa karibu na kanaro...lol!aki hizo viosks zilikua ndani ya hiyo river kama boats....my goodness,yaani home is crazy...i just miss my home.....
@Zeux...ulienda wapi?.....
maze kissy...hii topic imekua bwaku unakumbuka tukianzisha watu wawili tu?lol!....toa risto mbuyu......usiniletee ma father richard hapa.......hahahaha!
ule mroro alitokea hapa siku moja ati manzi wa sunny aliishia wapi tena?
men we need to have a bash for guyz of mtaani....mabarbie wakae kando kidogo...tumeet tu yaani tuaribu niaje....tuwake,tunego kimtaa,tucheke,tusosi,tushikeshike waroro wa mtaani...lol...zitubambe mbuyu.....hii kingoso unijamishi ma idhaa zake..haikwachu hata kidogo....lakini tutaduu nini sasa
wewe 10 inch ulikua chali wa sainty au?4th street ama?lol!
reggae,holaa @your niggah mbuyu.
|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 569
Join Date: Jun 2004
Location: .
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
07-29-2004, 01:13 PM
@rashad
hehe now i remember that sunset cafe.ilikua hapo next to the mosque hapo 7th.manze we used to think if jama buys chipo from huko wako na ganji.sababu they was expe.mane we used to go lunch alafu we always late coz that place was kinda far from chuo.anyway its all good memories
|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 569
Join Date: Jun 2004
Location: .
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
07-29-2004, 01:25 PM
@rashad
hehe manze imekuwa bwaku sana.we need to meet karibuni we relive them memories.ati hapo gikosh kwa mboga?hehe we rshad umetupa mbao.uliku huko siku ile gikosh ilichomeka?damn i used to check mi***o ya mngaro if i will get some $$ coz kuna jama ailiget chapa
@rashad,uliskia zile story ya mathee aliokota pesa romours that zilikua za devil worshippers.ati nyoka ikatokea kwa kikapu yake na kumnoynga.damn them stories
manze kuna jamaa flani alichotwa na jet hapo easich airbase.alikua akismama juu ya that short cut to gikosh.that jet crash landed and chopped his kichwa maraa mbili
damn easich ilikua na drama but it was all good
ulikua unajua that carao called katumbo?hehe
manze i miss black sheep the nisaan.ilikua order sana
|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 1,532
Join Date: Dec 2003
Location: .
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
08-01-2004, 01:59 AM
@Reggae
>manze kuna jamaa flani alichotwa na jet hapo easich
>airbase.alikua akismama juu ya that short cut to gikosh.that
>jet crash landed and chopped his kichwa maraa mbili
maze kumbe uliskia hiyo risto ya huyo chali alichotwa na zile jet za airforce...karibu na fence ya airforce pali wasee walikua wanahang ma mitumba za kukindwa...lol! tulikua hapo mbaya sana tukitaka kuona kuliendaje....yaani wewe reggae ni risto gani ya mtaani haujui?unajua kila kitu ata nimeanza kuogopa sasa....hahahaha
kuna mathree fulani # 9 ilikua ikiitwa BORN FREE...unakumbuka?maze nilikua nimeinoki mbaya sana...wacha born free hiyo new...ile ya kitambo...lol!
Reggae, si u hit my inbox i give you my email tuone vile kunaenda...
maze atleast hii thread ya area code 9 unibamba masaa zake cuz hii states unibore viriski kwanza nikikumbuka ma home boyz wangu wa mtaani. halafu hawa ma todhi wengi wamejaza states kuwanyitisha rada ni noma mbuyu inabidi ujiwekeweka fala kama hao ndio u-survive.
damn! states bila mabeshte wa maana ni noma mbuyu...lakini ndio hivyo mbuyu tutajikaza mdogo....ulinishow uko za wapi?nishasahau...topic imekua refu sana...nishow tunego...nimesoma hizo ma boarding school zako...mbuyu una vako mingi......anyway kula njaro...maidhaa au sio?
|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 133
Join Date: Jun 2002
Location: Duluth, Around the world, USA.
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
08-01-2004, 01:17 PM
Rashad kichwa wewe
Kwani mabuyu za mtaaro umesahau? We inakaa unataka fight madoggy after class!
Ati nyinyi mnadai 8b, mi nadai 28.. hao wasee ni wenda lakini wapi! sare kwa nguvu na wata do?
Mbuyu holla at ya boy!
|
|
|
|
Member
|
|
Posts: 88
Join Date: May 2004
Location: Nairobi, Nairobi, Kenya.
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
08-02-2004, 08:17 AM
Ati mnadai wasee wale wlikua wanamanga Sunny (Sunset) walikua mababi. Sawa vile mtasema tu.
Lakini jo kuna watu tulikua tukiona wameosa deadly huko sunny. Walikua wanabuy chipo na Tomato sauce na Maini ya kuku ya bob na pepto. Na maze haikuwa inafika ten bob lakini tuliwaona ma donga deadly.
Maze nani anakumbuka enzi za toivo. Maze vitu zingine ni za kuspoil tu. Tulikunywa toivo, hiyo enzi ikaisha alafu tukakunywa ratish (murats tamu) alafu tukakunywa Sorghum SAKE.
Hiyo ilikua noma sana.
Bila Chuki
|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 569
Join Date: Jun 2004
Location: .
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
08-02-2004, 04:47 PM
Rashad kichwa wewe
Kwani mabuyu za mtaaro umesahau? We inakaa unataka fight madoggy after class!
Ati nyinyi mnadai 8b, mi nadai 28.. hao wasee ni wenda lakini wapi! sare kwa nguvu na wata do?
Mbuyu holla at ya boy!
@rashad
hehe sema bana,yup manze in easich me nikama mayor.hakuna risto sikuwa naget 411.manze bon free was sawa but b4 that kulikuwa na heart breaker na ingine ilikua inaitwa memories.damn that matatu made me crazy,pia na u.k rampage,choclate factory,and night nurse,shaquille o'neil,bulls,ilikua sawa it had even rim ya bake.they all had alarms na makangas used to piga firimbi. damnnn i miss them sweet old days.
na hizo story za 21 questions manze zinamaba.we wacha uone vile tunakaranga wathii.na risto za mamanzi wa nai,hehe ilikwachu mbaya.
manze niko na collection ingine na mbisha za home na pia reggae za nguvu from days of papa lefty.we hit me up and we organize vile tutaorganize kabash ya wathii wa mtaaani.
hehe
ati #28?hao makanga walikua wamechoka na walikua wanavaa 3/4 pants na wamekaranga meno.hizo mat wathii walikua wanapangwa kama mboga za
gikosh.damn.
@zeux
hehe manze hiyo sunset the teachers used to send me chipo.i used to scoop kidogo (kuomja) kabla he wrapps it.i used to see em sending me kebab na gizzard,i was like damnn wako na ganji while me i had a kobole.hhee
rashad,we hit me up kabla njeve ya winter chips in
|
|
|
|
Senior Member
|
|
Posts: 1,532
Join Date: Dec 2003
Location: .
|
|
RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
08-07-2004, 12:28 AM
@EASYDOES....,REGGAE-ANALYST,...ZEUHX...
MKO WAPI????REGGAE ULIWAI MESSAGE?
EASY USHAISHIA NJ NA NY?
OKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKK
|
| Thread Tools |
|
|
| Display Modes |
Linear Mode
|
Posting Rules
|
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts
HTML code is Off
|
|
|
|
|
|
 |
 |
|