|
|||
Not Ranked
:
0 score
RASHAD
SEMA.MIMI NILIKUA NAENDA CENTER NA MYSA.BANA ISICH YOTE NILIZURURA.ANZIA PALE JOGOO ROAD FIRST AVENUE MBAKA MLANGO KUBWA ST TRESA I BEEN THERE.U MAY CALL ME THE MAYOR OF EASICH WE RASHAD,ARE U SOME OF THE JAMAS WHO USED TO PLAY HAPO AIRFORCE NEXT TO BIA? BANA WACHA HAO WACHAGAA WA GIKOSH JOO.I USED TO GO NGWARE SO I SEE CAMERA (KUCHSNGUA NGUO BANDLE IKIFUNGULIWA) WE RASHAD,U USED TO GO TO THAT CLINIC IN GIKOMBA WHEN U HAVE UPELE?AMA U WAS TAKEN TO CRESENT IN BIA? KEEP THE MEMORIES COMMING.SEEMS HAKUNA WATU WENGINE WA EASIC TO LIVE AND DIE IS EASICH,IS THA PLACE TO BE LIVING LIFE WITHOUT FEAR,PUT 5 KARATS IN MA BABY GAL EAR---BIGGIE SMALLS WE ALWAYS LOVE U BIG POPPA---LOX |
|
|||
Not Ranked
:
0 score
@easydoes
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha hahahahahahahahaahahahahahahahahahahahah lolollolo!!! Mr kibe alikua mnoma lakini maze hizo music zake mimi sikuwai kuzilike hata kidogo...nilikua antinyita music! ati G cleff and sijui F-cleff...wateva!! Mr. githenji alikua fala(lol...labda ni mbuyu yako)..maze aliniwai siku moja kaa mtoi...tukamuorganizia kumvunja siku za closing day! aki mr githenji matako yake yeye.....akaniwekelea ati nimesanya kwa shop ya MR.kamau...ati bikwii na mabuyu na sijui zile bisquit za round round za oruro! mr githenji ni fala kabisa.....afadhali Kibe mara one million! @easydoes unakumbuka nani mwingine?...MRS.okot...my best! mrs otieno alikua ma kujiwekaweka.... kwani ulimalo DB when?hebu hola kwa inbox yangu wewe.... maze DB...hata siwezi kuongea about DB..its a lot bana. @easydoes hebu hola @my inbox masaa..wacha hiyo mchezo yako...labda tulikua daro moja...lol! @KISS UJAWACHA WEENDA WEWE? NAONA SASA UNATHROW WOOD KABISA.... KISSY HIYO DESPENSARY(SIO CLINIC) YA GIKOSH TULIKUA HUKO VIBAYA SANA MAZE UNAPANGA LINE KUDUNGWA SINDANO(SHINDANO)////CRAP CRAP CRAP!...LAKINI ILISAIDIA...MAZE UMENICHEKESHA KISSY..LIFE IS INTERESTING...YAANI NILIKUA NIMESAHAU RISTO ZA HIYO DESPENSARY KABISA...THOSE ARE BEAUTIFUL MEMORIES....HAPO UMEDINYA POINT MBUYU! SO FAR UMEMANGA POINT MBILI....FATHER RICHARD NA DESPENSARY YA GIKOSH! LOL...NILIKUA NA HATE HIYO DISPENSARY VIBAYA SANA...HAPO TU KWA CORNER YA MANJUMU...NA ILIFUNGWA AMA BADO IKO?I...WONDER! KISSY...CENTER TULICHEZA BALL KUTOKA MORNING MPAKA USIKU!!!ALTHOUGH TIMU YETU HAIKUWAI WIN TONAA HATA MARA ONE...MYSA WACHA TU. HAHAHAHA...ATI CAMERA....KUMBE WEWE NDIO ULIKUA UNATUKATISIA...MAZE TULIKUA TUNAAMKA NGWARE ATI KUISHIA CAMERA NA TUNAGET WASEE WASHAFIKA(KINA NYINYI)..UTAONA WEWE! WANTED!!! KISSY UNAKUMBUKA MAZIMA....ATI HAO ZIKIBURN MAZIMA ZINACOME..ZIMECHELEWA.ZIKIFIKA HAO ZISHABURN.... kISSY UNALIKE REGGAE KAA MIMI....LOL!....jaH shall cleanse ...all tha budddd weeds yoyo!! and separate them from the good...coz the day of harvest is near yeyeyeyeyeeeeeeeeeeeeeeeee yoyoyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo o...lol!(ma roottttz en culture....dance hall...ma doba mbuyu....jaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh.... rasta fareeeeeeeeeeeeyyyyyyyyyyyyyyy....zilikua zikicome thurday morning...ati reggae tyme! @easy na KIssy...kumbukeni TREETOP!!!!MIRINDAA!!...WAAAH we shuld have a get together buthaz...wasee wa easich....lol...hakuna cha kugondii kargo za wasee |
|
|||
Not Ranked
:
0 score
>@easydoes
>hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah ahahahahahahahahaahahahahahahahahahahahah > >lolollolo!!! > >Mr kibe alikua mnoma lakini maze hizo music zake mimi sikuwai >kuzilike hata kidogo...nilikua antinyita music! ati G cleff >and sijui F-cleff...wateva!! > >Mr. githenji alikua fala(lol...labda ni mbuyu yako)..maze >aliniwai siku moja kaa mtoi...tukamuorganizia kumvunja siku za >closing day! >aki mr githenji matako yake yeye.....akaniwekelea ati >nimesanya kwa shop ya MR.kamau...ati bikwii na mabuyu na sijui >zile bisquit za round round za oruro! We kumbuka mamtaro, masambuu, kaimati n all, i miss that life men. We unakumbuka madoggy na mamtaro saa za fight after classes????????? >mr githenji ni fala kabisa.....afadhali Kibe mara one >million! >@easydoes unakumbuka nani mwingine?...MRS.okot...my best! mrs MRS. Okot, MRS. Amos na Mr. Njuki were the best teacher hapo DB. >otieno alikua ma kujiwekaweka.... Otieno alikuwa beste ya Masaa, lakini alikuw aki ni wahi saa ya English, men i love her though. >kwani ulimalo DB when?hebu hola kwa inbox yangu wewe.... >maze DB...hata siwezi kuongea about DB..its a lot bana. >@easydoes hebu hola @my inbox masaa..wacha hiyo mchezo >yako...labda tulikua daro moja...lol! > Rashad kwani umesahau miss. Mukoya, huyo odijo alikuwa ameiva lakini pedho ajabu. Halafu kulikuwa na odijo fulani, nimsahau jina yake, he used to count mathree during break time. >@easy na KIssy...kumbukeni TREETOP!!!!MIRINDAA!!...WAAAH >we shuld have a get together buthaz...wasee wa >easich....lol...hakuna cha kugondii kargo za wasee I rem season ya Zamba.. climbing all the trees in Eaisich n carlif tuki search zambaa. Funny shyt, loool!! |
|
|||
Not Ranked
:
0 score
WE RASHAD
SEMA mbuyu.tumetoka mbali ama.from buying nyanya pale airforce (a.k.a soko mjinga) hapo sect 3 (east end view bar). MAMNZI WA CALIFF NI WAPOA WHY LIE.MANZE HAO WASWAHILI NI WAZURI.SO WEWE RASHAD U WENT TO THAT CHUO YENYE IMETUPA MBAO (NEW PUMWANI PRIMO) MANZE HAPO NEXT KULIKUA NA MARKET INGINE POA I USED TO EAT LABANIA (I MISS IT SO MUCH) ALUA NA TENDE. ME I WAS AMONG THE FIRST TO PANDA THA DOUBLE DECKER BUS. LOOL WE RASHAD ATO JOSTA SUPERMARKET.THAT SUPER WAS SMALL.I GOT SOME PICS FROM CALIFF NA EASICH.IT MAKES ME REMICE HOME RASHADA,U USE TO PLAY BANO,DRAFT,JUA? NA UNAKUMBUKA THAT BOARD GAME CALLED KERAM?ME I USED TO PLAY SNAKES AND LADDERS NYUMA YA KASUKU KITABU WE RASHAD,REGGAE NI JINA LANGU LA KATIKATI.LOVE REGGAE KABISA.I LIKE THAT SONG--CAN'T U LET ME GO NOW,LET ME GO TO HER WE SHOULD MEET IN UHURU PARK AND RIDE BOAT AND TAKE PICS HAPO CONFERENCE pOSING LIKE WE HOLDING THE TOP OF KICC. |
|
|||
Not Ranked
:
0 score
>SEMA WE RASHAD
>MANZE MEMRIES NI MINGI. >RASHAD,MANZE WE USED TO CAUSE HELL TO TEACHERS COLLEGE.WE >USEDTO MAKE BARUTI OUT OF PAPER AND BLAST WHEN THEY WRITTRING >ON BOARD.MANZE THAT MR SHOW WAS DANGER WAS A LEGEND. > DID U READ AKINA JOHN KARIAMITI?I THAUGHT HE WAS GANGSTA >JOO.NA ULISIKIA STORY ZA AKINA KINYONGA THE THEIF NA PIA >SPARKY > >AND DID U KUMBUKA THEM DAYS WATOTO WERE BEING KIDNAPPED?NA >HIYO STORY YA CANNIBALS CALLED WAGISU WHO USED TO EAT PEOPLE? >MANZE WILL KEEP MORE STORO COMMING > >LIVING LIFE WITHOUT FEAR,PUT 5 KARATS IN MA BABY GAL >EAR---BIGGIE-- JUICY hahahaha! ati keram....unakumbuka mpaka hiyo board ya keram wewe easydoes unanijazz mbaya sana......wewe ni wetu!!!lol! keram na ati hiyo market ya calif..alua..tende...lol! sikuenda new pummwani..i was in old pumwani! hiyo uni ya new pumu ilikua very boring...although home ni hapo karibu na new pumu...lol! keram!!!umenifurahisha sana. |
|
|||
Not Ranked
:
0 score
>hahahaha! ati keram....unakumbuka mpaka hiyo board ya keram
>wewe easydoes unanijazz mbaya sana......wewe ni wetu!!!lol! >keram na ati hiyo market ya calif..alua..tende...lol! >sikuenda new pummwani..i was in old pumwani! hiyo uni ya new >pumu ilikua very boring...although home ni hapo karibu na new >pumu...lol! keram!!!umenifurahisha sana. Rashad vipi? We unakaa ni wa mtaani. Unamesea Jino Moja? Halafu na team fulani ya ball kutoka calif, Rangers na Indomitable lions. Hao mabeste wote nawamesea. Nimecheza Keram na Ludo hapo Kijee kaa uwongo, manzee mbachu ilikuwa inabamba saa ya hizo game men. I miss home. Holla at ya boy yo! |
|
|||
|
|||
|
|||
Not Ranked
:
0 score
rashad and all easich hommies
NIMERUDI BAADA YA TRIP YA SHULE HAPO MUSEUM.WE WAS SINGING DEREVA DEREVA TIA MOTO KWENDA NA KURUDI NI SALAMA. MANZE I HAVE SOME MEMORIES KIDOGO. WE RASHAD ULIKUA UNADOEYA KWA JIRANI WAKIPIKA CHAPO?LOOL I GOT SOME PICKS OF CALIFF JOO MAHALI KUNA BARAFU ZA MKWAJU NA MAMANZI WAPOA WASWAHILI. WE RASHAD WE NI WA ILE BASE INAJIITA "JINO MOJA MSAWAKI NI WA NINI" HAPO CALIFF I WAS JUST POSTING TO LET YA ALL NIKO PADO NA MEMORIES TUTACHAMBUA MDOGO MDOGO |
|
|||
![]() |
| Tags |
| area, code, eastleigh, massive |
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|
All times are GMT -4. The time now is 03:59 PM.








Linear Mode
