memories are made of this -
11-20-2007, 10:41 PM
manze i've been reading this thread and it has made ma year i was born and raised in juja(mtaa ya zamo sio esto) karibu na ile chuo ilikuwa ikiitwa don bosco, nilikuwa juja primo nilicheza ball mysa team fulani ilikuwa initwa lucky strikers nishacheza ligi kadhaa desa ya calif,desa ya ngara pale kwa zile hao za reru ngara halafu nikagundua jam f2 nilipoingia seko, nakumbuka manze hakuna mtaa ilikuwa ichoma isili na mathree kwanzia siku za rosa,gari ya nyama,madness,orlando,jordan,jealousy,rainbow na zingine mingi sikumbuki and for the chick who wrote about chris and erick those were ma boyz chris anafanya job na airline fulani dubai as for the kawir kids kulikuwa na watutu atl moha,abo na sistao warda abo alirudi mtaani.keep these memories flowing badtheen washenzi.
isilii usilie ukilia utaliwa wewe.
|