RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
08-14-2005, 08:09 PM
Kweli mamemories! wewe rashad umenichekesha ukinikumbusha makudinyos!
watu kama hao niliwasahao! Nakumba Father Richard woiye.
Nilisomea pango primo, pango seco na tuliishi reci. Unakumbuka kina makingonsh alikuwa akiuuza mahindi na maembe hapo inje ya pango primo?
na mama peter je na mamhogo za pilipili?
Tulikuwa tuki tresspass reci ndio tuende home, lakini walikuwa wakitukataza hao maprefo wao. Walikuwa wanambia mabubu wa reci (kulikwa na classes za bubu) watukimbize! tulikuwa tukitengeza mapanya routes between reci na juja primo, mafence zao tulijaza mashimo. Zile mafence na ma walls niliruka mie hukumbuka tu.
Imagine kutoka pango primo ati kuzunguka kina juja, teki mpaka reci and then back!!
Mpaka wa leo kila mtu aligrow reci ye hurundi kusalimiana, maisha ilikuwa fit sana. Tulikuwa na entertainment kila jioni ya starehe band, mr shaw na tumbo na volvo yake.
|