Ninawatafuta marafiki wangu wawili ambao wanaaminika wako Kenya. Wa kwanza anaitwa Henry Nyabuto Obwoge.Mara ya mwisho nilisikia yeye yuko Kisumu lakini sijawahi kuwasiliana naye tangu nije huku Marekani.Familia yake inakaa Miang'o, Nairobi. Wa pili ni Thomas Moracha Ontweka ambaye ni mkaazi wa aidha Umoja au In-field. Yeyote anawafahamu marafiki hawa awajulishe au anijulishe anwani zao. Anwani yangu ya kupokea barua pepe ni:nyamwancha@rock.com .Asante.