|
|||
Not Ranked
:
0 score
Dalla B
hey misquo something. How you know Frere boy. You one of them Frere people maybe you know me. Am mwinyi khamis. Didn't clear coz i had to move to the state. If you do holla back. I was to clear with akina taribo. Lot ya wale walio kuwa disqualified. Damn i am a lucky mother er. |
|
|||
|
|||
|
|||
Not Ranked
:
0 score
Dodo! yes for the cakes, sikuwa shimo lakini nilikuwa na maarifu fogo na ma cousin brother waliitwa shimo,jamani mwampata lubega,na kina mwandaga,lo inadi kwanza ile cheering squad wakati wa boli shimo na hamisi,do mtapenda uchizi uchizi.vipi pale creek tulitiana sana nafikiria vipusa wagiriama kadha wa mtwapa wana vitoto vyangu.Lakini no sweti mwaka huu na shuka mombasa kisiwani.
ndudu kwa wingi,itabidi noma na kwambia,kwanza huo mnazi wa utange pale kwa mama na sikia waingia kweli siku hizi,itabidi hiyo mitaa ipigwe reconaissence.walakini shimo la mavi ilikuwa kama mtaani kwagu.Machizi mko wapi! |
![]() |
| Tags |
| class, shimo, tewa |
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|
All times are GMT -4. The time now is 01:07 PM.









Linear Mode
