amekaa kama mboch wetu mwingine alikuwa anaitwa Masaku, he never used to leave the house without his radio,hata akipika kitchen alikuwa anablast hiyo radio yake,siku moja hata ilifanya nyumba ikapata short circuit,karibu yeye na karadio kake katuchomee cager
