|
|||
Not Ranked
:
0 score
Quote:
Tulia dada, ama ni kaka? Wenye walewa lugha mfuti na wale watafsiri halisi watakusaidia.
|
|
|||
Not Ranked
:
0 score
Jay-R kwanza kabisa heshima yako mbele,
kabla sijhaendelea nadhani unaongealea mitaa ya old town na vitongoji f'lani Mombasa.Kumbuka kwa sasa hii ishu imetanda kote kote na imekua kama kansa! Kisha nikashamaliza salamu inabidi nirudie mada husika kwa mtazamo wa kiini hasa cha mihadarati yenyewe kuwepo. Asikwambie mtu kua masikini nd'o chanzo bali ni hawa viongozi wetu vizabizabina ambao badala ya kufanya mambo yanayokuza nchi, hao wanashiriki ufisadi na ulaghai. Tetesi mojawapo ilionifikia ni kua kiongozi kama Bw Haroun Mwau alicheza sana hii mipigo lakini hebu tizama yuko wapi sasa?...Jamaa kakaa kitako Bungeni.Kisha kuna yule Kabogo nadhani alikua mbunge wa Juja...yeye naye pia nasikia alishiriki/anashiriki haya mambo. Kuna familia teule hapo Pwani..hususan ile ya kina Akasha...walijulikana wazi kua wanashughulika maswala ya mihadarati lakini wapi!!!!... ndume za Central na pale Urban walikua wanakula nao. Yaani list ni ndefu hata sio siri tena. Jiulize swali, je iwapo vibosile wetu wanacheza huu mchezo, basi nani atawazuia walalahoi kutoshiriki?Polisi wenyewe hawatoshi kwa kukwepua hongo...mnadhani shughuli yenyewe itakoma?...La hasha! Suluhisho ni nini basi? Hapa nadhani ni kwa kila aliye na akili timamu asogee mbali na haya madude. Sidhani kama mtu analazimishwa kutumia bali ni hiari yako mwenyewe na madhara unayajua.Either utachizika ama utalemaa for life or worse still utabughudad naswi tutakuzika tu.Ole wako!!! Tumejaribu kulia na serikali lakini wapi!!!...Huko kumejaa wezi na wabinafsi chungu tele na tusitarajie msaada wowote wa maana.Vyama vya jamii, vinaweza kusaidia katika kuelimisha raia kuhusu madhara ya mihadarati but beyond that sioni kama la maana linaweza kufanywa. Shukran wakuu. Hio ni senti yangu hamsini naibwaga sebuleni. |
|
|||
|
|||
|
|||
Not Ranked
:
0 score
Quote:
Kamata tano ya nguvu babuu!!! Nimependa sana wasia wako ulowapa hawa maponjoro wasojua Kiswahili! |
|
|||
Not Ranked
:
0 score
Now please tell me people like Jay-R had to write Inshas in competition with someone from Lodwar. How unfair?
. On top of that, one can tell the difference between a coastarian native and an upcountryman's swahili regardless of the number of vocabularies the latter throws in. LOl waaaa! I'll just sit back and admire.
__________________
Knowledge by hand and mind |
|
|||
Not Ranked
:
0 score
Quote:
Eeh bwana wee..! wasije wakaopotosha jamaa na wao wenye wakijui wala wanakiigiza tu. Si lugha ya mitaani hii. Ni cha wasomi kiswahili.
__________________
Mume ni Madeni
|
|
|||
Not Ranked
:
0 score
Quote:
Oyee,umaskini na ukosefu wa vibarua ndio chanzo cha mihadarati ,kwa hivyo usiwalaumu sana,,, Otherwise,,,,umefanya jambo poa kwa kubonga kiswahili sanifu hapa manake wengi wa watu hapa hujifanya wazungu weusi................... Shame on them all dark arsed niggaz from kenya Afrika who are trying to ape the caucasians,,, |
|
|||
Not Ranked
:
0 score
Quote:
Kwa mfano...ile familia ya Akasha kwa miaka mingi ilijulikana na serekali kuwa ilikuwa kwa biashara ya kuuza mihandarati. Tunajua pia...familia za mabwenyenye mjini mombasa wanapambana na shida za watoto wao kuingilia madawa ya kulevya. Watoto wa hayati mwanasiasa mkongwe wa mombasa pia wako na shida ya madawa ya kulevya. Ni nani ajasikia juu ya mihadarati huko kilifi na malindi? Mbona mkoa huu unaongoza kwa visa, visanga na mikasa zinazohusiana na mihadarati?
__________________
Take time to be with yourself. It will help you to be with others.
|
|
|||
Not Ranked
:
0 score
yaonekana nilijinusura wakati iliyofaa kwani sidhani ningewezana na magwiji wa lugha walio miongoni mwetu.
bila shaka kiswahili changu sio cha kuvutia kama vile tumeshuhudia! maneno yangu yametapakaa kwote na ngeli yangu, hata mimi mwenyewe siwezi kana, sio safi. huenda hata wazo langu haieleweki vilivyo. lakini kwa upande mwingine, ninaburudika kusoma lugha sanifu hapa mashada. najifunza mapya kwani penye mafund hapakosi wanafunzi. hongera kwa waloshuhudia mjadala huu. msiwache... endeleeni!
|
![]() |
| Tags |
| changieni, hapa, hebu, mpo, nina, nyeti, swala, waswahili, wenzangu |
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|
All times are GMT -4. The time now is 08:51 PM.











Linear Mode
