Quote:
Originally Posted by ChipsHazijaivapoa
Ol Skul kiasi.."matako juu juu ka breki ya honda"..lakini hii si funny tegeni nisakanye ile funny niCome.Hii imeniBore hata naskia kuiDelete,mkimaliza kuiRead mnishtue niDelete manze!...shyt next time sitaandika mchongoana inabore..nimejam hata!naSign out!
|
Yaani wewe bado ujawacha ukalulu? lol, very nice to see you by the way.
these are mine, way back from high school mchongoano context:
wewe ni mfupi mpaka ukimbao unaanguka
wewe mzee mpaka ati wewe ndio uliwipe table ya the last supper
wewe ni mweusi mpaka wameandika "scratch to reveal" kwa I.D yako ya shule
ati unashida ya ngozi mpaka ukikaza rasa unalia, ukiinua mkono unacheka
ati kwenyu nyinyi ni wengi mpaka ukiingiza kifunguo kwa mlango unaskia "wacha kunifinya"
ati meno zako zina spaces mob mpaka ulimi yako inakaa ni kama iko kwa jela
ati mamako mnono mpaka akipanda kwa weighing machine inajiandika "no cows allowed".