|
|||
Not Ranked
:
0 score
Siku hiyo niliwahi kutoka skuli. Tumbo liliniletea `matataizo,’ hali ambayo ilihatarisha hali ya upendo, umoja na mshikamano uliojengwa kwa karne nyingi kule tumboni. Sikuwa na jinsi zaidi ya kujitoma kwenye daladala kuwahi nyumbani. Si wajua vile maskuli yetu hayana kasma ya kumtibisha mwanafunzi?
Kufika tu kituoni, daladala hilo! tena tupu, “limepigwa mswaki” na menziye yaliyozidi kete. Ile naingia tu, konda akanidaka. “We wa-kusoma! Unakaa kwenye kiti kwani utalipa nauli ya mtu mzima?” Akanizuia kuketi, japo gari liliondoka likiwa bado vile vile `swaki.’ Baada ya kusimama kwa muda, nilihisi hali kuzidi kuwa mbaya, na “breki” niliyodhibitia vilivyomo tumboni ilikaribia kufeli. Na kufeli kwa breki hiyo kungefanya vilivyomo tumboni vitoke kwa kasi isiyo na kidhibiti-mwendo. Na kwa kuwa nilikuwa nimesimama peke yangu kwenye gari tupu, nilionekana na kila abiria. Hivyo basi kitendo cha kufanya `majambozz’ mle mle ndani ya gari kungenigeuza kideo cha bure! HADITHI KAMILI: Starehe Gharama | East Africa in Focus |
![]() |
| Tags |
| gharama, starehe |
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|
All times are GMT -4. The time now is 12:08 PM.








Linear Mode
