|
|||
Not Ranked
:
0 score
Hakuna mtu aliyejua idadi kamili ya ng’ombe wa Mzee Pantike. Wengine walisema anao ng’ombe elfu moja, Wengine walisema elfu kumi. Na wengine kusema laki moja. Ilisemekana majirani zake walikuwa wanaiba ng’ombe wake mmojammoja bila Mzee Pantike kujali. Ndiyo maana majirani hao waliweza kuuza maziwa, ngozi na nyama zaidi ya Mzee Pantike mwenyewe, japo wao hawakuwa na zizi hata moja.
HADITHI KAMILI: Ng’ombe wa Maskini |
![]() |
| Tags |
| maskini, ng’ombe |
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|
All times are GMT -4. The time now is 02:53 AM.








Linear Mode
