Quote:
Originally Posted by jahmani
born free makanga alikuwa anaitwa wamusoldier,mashada hii mbaya, aise nimesoma hii story mpaka its 4:40 am lakini bado sijiskii kudozi man mnanijaaz, unakumbuka almayo(mgondi),baba ngida,babra,yaani isich ni home so i cant wait to get in touch with u guys
|
Wamusoldier siku hizi ana boutique pale racy, baba ngida na babra wale sha kick, but siku hizi esich imekuwa kama refugee camp coz ni mawalalo na ma oromo kibao