enhe -
05-03-2008, 04:47 AM
nyanyako ni toothless lakini ndiye wa firrst kucomplain price ta colgate ikipanda
ati nasikia we ni mweusi mpaka babako akiingia kwa keja uimba...'hebu jitokeze,jionyeshe, simama mbele ya watu'
ati siku ya kwanza kuona P.K(orbit) uliitisha maji ukunywe kama dawa .
ati nasikia kwenu nyi ni wengi mpaka kuna census next year
|