Quote:
Originally Posted by Titchaz
Watu wanatafuta makao sehemu zengine.
Asante.
|
This thread has already turned the corner, so just to put it back on course as I was equally dumbfounded why mashada was shut down, I searched and found a convincing answer in a TZ forum it reads;
Quote:
Originally Posted by Ab-Tichaz
Haya Wabongo acheni niwape nyeti kuhusu hio site.
Ukiwa unaifuatilia kwa sana, hii site imegeuzwa kuwa ukumbi wa chalenchi baina ya wanaODM na wanaPNU.Kwa m'da jamaa za PNU walikua wanapata nafasi ya kuwatukana wanaODM ambao walikua wachache.Kadri m'da ulivyozidi nao wanaODM wakaanza kuongezeka na hapo nd'o songombinde ikaanza.PNU wengi wao ni wakikuyu na ODM nio yale makabila mengine yaliobaki.Ilikua mambo ya siasa kama kawaida hadi Kibaki alipoiiba kura na mambo yakabadilika. Wakikuyu wakawa wanawatambia yale makabila mengine na kuwatusi mambo kibao.Kuna tetesi pia kua serikali ilikua inatuma watu mle ndani kusupport sera za PNU lakini wapi.Kilichoonekana wazi ni kua ODM ina mashabiki wengi wakutoka kila matabaka na kabila. Mara jamaa mwenye site akaifunga na kuwaambia watu wajisajili tena.Hii ilikua mbinu ya kuchuja mashabiki wa ODM.Kwa vile akili ni mali,wajanja wakabadili majini na kurudi ukumbini vilevile. Mambo yakaendelea vilevile na mauaji yalipoanza basi ikawa kama fahari kwa wengine mle ndani.Tovuti ikaanza kushehena matusi na vitishio visivyoeleweka.Nadhani mwenyewe kaona kwa mara nyengine tena aifunge hadi mtakapotangaziwa tena.
BTW mwenye mashada ni mkikuyu jamaa la kabila la Kibaki.Kwa hivyo nadhani mnaelewa serikali inaingilia vipi katika hii sehemu. Shida ya wakenya ni kubwa mno na kwa wale wanosali jamani waombeeni.
|
MASHADA forum suspended.. - Page 2 - JamboForums.com