RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
03-19-2006, 09:12 PM
mtaani ni apo mbele ya suny opposite club lenkah
pia naona watu wa eastlando tuko kibao
sijui ka unaeza remeber mat ilikua ina jiita patrick kluivert(holland) ya orange ilikua mathree za fao fao kuanza ile vaco inainushua rasa. ma tyre za nyuma kua bwaku ili kua ya cuzo ya mine.
nime soma ile story yako ya mabeste mulikua mnacheza nao ball ni ma celeb kina nani hao?
juu mi na kumbuka jua cali & nonini walikua ma beste sana na cuzo walikua wa shikisha veve baze ingine ya tene apo madiwa ilikua inajiita westside alfu cuzo wa kahama sec 3 wakaishia bia wakanza baze ingine apo kwa boy mwengine ye ujita rasta
blunder nilikuaga mtoi sikuaga nachana nilikuaga na bangaiza tu nao.
|