View Single Post
(#109 (permalink))
Old
keupe keupe is offline
Member
keupe
 
Posts: 31
Join Date: Jun 2005
Location: london, UK.
Report Post
Default RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE - 08-14-2005, 08:19 PM

Mimi sio ohoboho! nilisomea pango na nakumbuka vile mulikuwa mnatukataza kutrespass hio chuo yenyu na tulikuwa tunaishi reci.
Alumasa si walikuwa wanaiishi reci? mama yao si alikuwa teacher?
Habari ya mr yuthia na ndutu? yuthia jnr alikuja pango alikuwa mangaa!
habari ya kitheka, mama peter, ngang na osore? estate kulikuwa na watu wengi wa reci.
 
Reply With Quote