RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
06-22-2004, 12:54 PM
@reggae analyst
mbuyu niko....nilikua nimeishia shughuli uko ma north lakini niko mtaani sai.
wacha nicheki izo photo za easich
lo...reggae we nimwenda....ile risto ati ma manzi wa mtaani na wa majuu...we ni mewnda...ua need maombi mbuyu.
pamoja joh....uliishia zile doba zilikua califf hivi majuzi?
nishtue mbuyu...
@salima...supuu niaje wacha kututupa bana....wewe ni wetu.
|