RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
06-04-2004, 02:35 PM
am back
@rashad
kwani uko wapi mbuyu.naskia uko montana am aulihamia alaska kwenye njeve.hehe i will scan them pics manze utaziona ni kali.i got pics za califf na matatu za # 4
kuna manzi flani hapo califf alikua anauza ice za mkwaju.damn she was fly.i use to frequent the place so i could she her smile.
@salima
kwali ulienda kudance taarabu?manze kama we mswahili,u must be fly.i remember i used to pass hapo biafra and califf bana hiyo arufu ya pilau,na biringanya damnnn.hao waswahili wanajua kupika.
|