View Single Post
(#26 (permalink))
Old
easydoes easydoes is offline
easydoes
 
Posts: 133
Join Date: Jun 2002
Location: Duluth, Around the world, USA.
Report Post
Default RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE: me... - 04-06-2004, 06:27 PM

>hahahaha! ati keram....unakumbuka mpaka hiyo board ya keram
>wewe easydoes unanijazz mbaya sana......wewe ni wetu!!!lol!
>keram na ati hiyo market ya calif..alua..tende...lol!
>sikuenda new pummwani..i was in old pumwani! hiyo uni ya new
>pumu ilikua very boring...although home ni hapo karibu na new
>pumu...lol! keram!!!umenifurahisha sana.
Rashad vipi? We unakaa ni wa mtaani. Unamesea Jino Moja? Halafu na team fulani ya ball kutoka calif, Rangers na Indomitable lions. Hao mabeste wote nawamesea.
Nimecheza Keram na Ludo hapo Kijee kaa uwongo, manzee mbachu ilikuwa inabamba saa ya hizo game men.
I miss home.
Holla at ya boy yo!
 
Reply With Quote