RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
03-30-2004, 03:18 PM
>@easydoes
>hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah ahahahahahahahahaahahahahahahahahahahahah
>
>lolollolo!!!
>
>Mr kibe alikua mnoma lakini maze hizo music zake mimi sikuwai
>kuzilike hata kidogo...nilikua antinyita music! ati G cleff
>and sijui F-cleff...wateva!!
>
>Mr. githenji alikua fala(lol...labda ni mbuyu yako)..maze
>aliniwai siku moja kaa mtoi...tukamuorganizia kumvunja siku za
>closing day!
>aki mr githenji matako yake yeye.....akaniwekelea ati
>nimesanya kwa shop ya MR.kamau...ati bikwii na mabuyu na sijui
>zile bisquit za round round za oruro!
We kumbuka mamtaro, masambuu, kaimati n all, i miss that life men.
We unakumbuka madoggy na mamtaro saa za fight after classes?????????
>mr githenji ni fala kabisa.....afadhali Kibe mara one
>million!
>@easydoes unakumbuka nani mwingine?...MRS.okot...my best! mrs
MRS. Okot, MRS. Amos na Mr. Njuki were the best teacher hapo DB.
>otieno alikua ma kujiwekaweka....
Otieno alikuwa beste ya Masaa, lakini alikuw aki ni wahi saa ya
English, men i love her though.
>kwani ulimalo DB when?hebu hola kwa inbox yangu wewe....
>maze DB...hata siwezi kuongea about DB..its a lot bana.
>@easydoes hebu hola @my inbox masaa..wacha hiyo mchezo
>yako...labda tulikua daro moja...lol!
>
Rashad kwani umesahau miss. Mukoya, huyo odijo alikuwa ameiva lakini pedho ajabu.
Halafu kulikuwa na odijo fulani, nimsahau jina yake, he used to count mathree during break time.
>@easy na KIssy...kumbukeni TREETOP!!!!MIRINDAA!!...WAAAH
>we shuld have a get together buthaz...wasee wa
>easich....lol...hakuna cha kugondii kargo za wasee
I rem season ya Zamba.. climbing all the trees in Eaisich n carlif tuki search zambaa.
Funny shyt, loool!!
|