RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
03-29-2004, 08:36 PM
@easydoes
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha hahahahahahahahaahahahahahahahahahahahah
lolollolo!!!
Mr kibe alikua mnoma lakini maze hizo music zake mimi sikuwai kuzilike hata kidogo...nilikua antinyita music! ati G cleff and sijui F-cleff...wateva!!
Mr. githenji alikua fala(lol...labda ni mbuyu yako)..maze aliniwai siku moja kaa mtoi...tukamuorganizia kumvunja siku za closing day!
aki mr githenji matako yake yeye.....akaniwekelea ati nimesanya kwa shop ya MR.kamau...ati bikwii na mabuyu na sijui zile bisquit za round round za oruro!
mr githenji ni fala kabisa.....afadhali Kibe mara one million!
@easydoes unakumbuka nani mwingine?...MRS.okot...my best! mrs otieno alikua ma kujiwekaweka....
kwani ulimalo DB when?hebu hola kwa inbox yangu wewe....
maze DB...hata siwezi kuongea about DB..its a lot bana.
@easydoes hebu hola @my inbox masaa..wacha hiyo mchezo yako...labda tulikua daro moja...lol!
@KISS
UJAWACHA WEENDA WEWE?
NAONA SASA UNATHROW WOOD KABISA....
KISSY HIYO DESPENSARY(SIO CLINIC) YA GIKOSH TULIKUA HUKO VIBAYA SANA
MAZE UNAPANGA LINE KUDUNGWA SINDANO(SHINDANO)////CRAP CRAP CRAP!...LAKINI ILISAIDIA...MAZE UMENICHEKESHA KISSY..LIFE IS INTERESTING...YAANI NILIKUA NIMESAHAU RISTO ZA HIYO DESPENSARY KABISA...THOSE ARE BEAUTIFUL MEMORIES....HAPO UMEDINYA POINT MBUYU!
SO FAR UMEMANGA POINT MBILI....FATHER RICHARD NA DESPENSARY YA GIKOSH!
LOL...NILIKUA NA HATE HIYO DISPENSARY VIBAYA SANA...HAPO TU KWA CORNER YA MANJUMU...NA ILIFUNGWA AMA BADO IKO?I...WONDER!
KISSY...CENTER TULICHEZA BALL KUTOKA MORNING MPAKA USIKU!!!ALTHOUGH TIMU YETU HAIKUWAI WIN TONAA HATA MARA ONE...MYSA WACHA TU.
HAHAHAHA...ATI CAMERA....KUMBE WEWE NDIO ULIKUA UNATUKATISIA...MAZE TULIKUA TUNAAMKA NGWARE ATI KUISHIA CAMERA NA TUNAGET WASEE WASHAFIKA(KINA NYINYI)..UTAONA WEWE! WANTED!!!
KISSY UNAKUMBUKA MAZIMA....ATI HAO ZIKIBURN MAZIMA ZINACOME..ZIMECHELEWA.ZIKIFIKA HAO ZISHABURN....
kISSY UNALIKE REGGAE KAA MIMI....LOL!....jaH shall cleanse ...all tha budddd weeds yoyo!! and separate them from the good...coz the day of harvest is near yeyeyeyeyeeeeeeeeeeeeeeeee yoyoyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo o...lol!(ma roottttz en culture....dance hall...ma doba mbuyu....jaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh.... rasta fareeeeeeeeeeeeyyyyyyyyyyyyyyy....zilikua zikicome thurday morning...ati reggae tyme!
@easy na KIssy...kumbukeni TREETOP!!!!MIRINDAA!!...WAAAH
we shuld have a get together buthaz...wasee wa easich....lol...hakuna cha kugondii kargo za wasee
|