View Single Post
(#18 (permalink))
Old
rashad rashad is offline
rashad
 
Posts: 1,532
Join Date: Dec 2003
Location: .
Report Post
Default RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE: me... - 03-27-2004, 07:35 AM

...KISSY wacha bana...tia zii bana
ati baruti...lol! sasa unaduu ni miss home kabisa...
ati tumeenda mpaka ngara kubuy baruti kwa hizo shop za mapandree
ile baruti bwaku sana ilikua inaitwaje...ile ilikua inaashia juu halafu inarudi down inaburst vinoma..lol..nimesahau jina yake!
siku moja tuliburstisha baruti mbele ya Father Richard(aki we were spoilt),,manze imagine baruti mbele ya father richard...tukakneelishwa the whole day na odijo!
maze namiss zile baruti za red refu refu!!!!chwuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.. ....................booooooooooooooooooooooooomb!! !
ati chivui...wewe kissy umenoki...alafu unakunja okaro ndogo unaweka kwa chuviu...unawachilia kwa rasa ya msee!!!
feya ilikua ya mawe,chuviu ya okaro ndogo!!!

hahaha...ati wageni wa ocha wamekuja na mahindi mingi???LOL!
alafu ati hizo mei zinapelekwa kusiagwa kwa tingatinga!!!hahahah...hiyo unga mbaya!!!na wengine walikua wanakam na unga ya brown!!...(will neva forgive those ones)that unga was nusty!!
ilikua ya uji not ugali! mafala hao.
yaaani kissy ulikua unamezea samburu sounds...pale easich...kwani we ni nani?....hakuna place ujui...yaani hata buffalo ile place ya chipo tukiwa primo bado unaimezea?..wewe ni nani?lol!
ati bread na milk kama chuo yenyu imeeishia out..mnashea gonuthu na milk...unakumbuka pepto? hizo siku ile soda ndogo?hahahahaa
ulikua unaishia Gikosh/kikosh kusakanya thredi,wacha tu ni ya leo ni ya leo....those chagga guyz singing throught the day....
ulishawai vaa akala?...
hiyo st johns...mimi na siste tulikua st.johns NUrsery...lakini tulihepa..hatukumalo...
unakumbuka ati short yako ya chuo imepotea monday morning?ama haija pigwa pasi...unazusha..yaani orwaro imelost...tulikua mafala sana...
KIssy unamezea nani hapo carlif?...ulikua uanchezea team gani ball...Rangers? flamingo?...black makaa?..lol!
unakumbuka NEW PUMWANI PRIMARY SCHOOL?..ilikua imethrow wood...big tyme!
siku hizi naskia kuna ma nisani hiyo ruti ya madiwa/biafra...ati zinangoma mbaya sana!
ushawai enda center (uko sect I) kuplay ball
ati mpaka unamezea kamchungwa?unakumbuka vile hizo simu za kamchungwa ndio zilikua zinaduu job peke yake?
kuna shpi ingine ilimakiwa hapo..JOSTER...kwa corner.....
ulikua unaenda stadi..city nayo kasaa...hakuna lupay...unaruka ama ujishanure na msee...maze easich quoro RULES>>>>NO BABILONIANS.....WE SURVIVED..WE LIKED IT.....HEE NA HAO MA WALALO WETU....
 
Reply With Quote