View Single Post
(#12 (permalink))
Old
rashad rashad is offline
rashad
 
Posts: 1,532
Join Date: Dec 2003
Location: .
Report Post
Default RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE: memories - 03-20-2004, 11:35 PM

@KISSy
lol..so were you in Ainsworth ama ulikua primo gani?
ulimalo primo when?
kumbuka siku za mambio chuo....tulikua tukiishia pumu grounds kushindana mambio....tumeshinda tumeshinda kikombe!!!!
wakalia wakalia machozi!!...Ainsworth...watoto chokora...walimu viguru...headmaster kiparaaaa!!!!!
maze sitasahau book ingine ya english ilikua inaitwa BETTER ENGLISH...very hard and boring....
kumbuka siku za wawili kwa maziwa then 2 guyz go bring milk for the whole class...remember those days ati the milk was green mara ati kuna mtoi alipata kidole kwa maziwa..LOL!
kumbuka siku za ati watu walikua wanashika watoi wa chuo wanawakata deki ama matiti halafu wanaweka kwa maziwa ya chuo...?LOL!
ati hiyo uwanjo ya DEZA kuna siku mateam za handball zilikua zinakam kuplay kina black mamba etc etc...aki life was good kitambo..hawa watoi wa siku hizi bure kabisa....
kumbuka siku za pears,plums..mangoes mapera etc ati kulikua na seasons za fruits!..kumbuka maindi(mei) ya kuchomwa na pilo...waaah!
unakumbuka ati unapanda KBS(kenya bus)
you see the kondi unahepa unashuka mlango ya nyuma and the get back na ya mbele...
kumbuka MR.SHOW that police man from starehe boys center ati alikua CID mnoma....anashika wagondi..by the way what happened to that patrick SHOW?..
Those VOK programs....TUSHAURIANE....dennis na joe....ulikua ukiogopa hiyo song ya tirriiing tiiring tin tirong!! hiyo ya tushauriena....ati mtu amededi...wacha tu.
na je mahoka...inspector sikujua,..Amina fakii nikiwambia chao....hadija ali...mambo mbotela....
obachi machokaa katika kipindi cha kuongezaaaaaaaaaaaang...maaaaaaaaariiiiiiiiiiifa!!
@kISSY...bado na cheka risto ya FATHER Richard...! lol! how could you remember that dude...you go BOY!
uko states gani????

 
Reply With Quote