RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE: memories -
03-19-2004, 10:40 AM
wee bana wacha zako!
manze kukinyesha kulikua kunoma sana...manze unateleza mpaka chuo..aki we survived!
hiyo baro ya pumu..manze i lost six classmates...waligongwa na # 9 fulani hiyo baro wakadie...it was so sad bana...we cried parade like a nonsonse! you just reminded me of those pressious classmates that i lost!
manze tulikua tunasanya maembe everyday! hee Kissy unakumbuka yaani unakata hiyo maembe kwa piece ndogo ndogo kabisa ndio beshte akikuomba unmwai piece moja ya uchoyo..yaani we had to survive..alafu unaweka pilo mob kushinda maembe...ama msee akikuomba maembe unamshow "nilishasema NO MUOMBO!!"hahaha
manze wacha kunikasirisha sasa we KISSY...hiyo stori yaq mafuta ya taa ni mbaya sana...manze tulikua tunatreki mpaka jogoo road kusakanya mafuta..alufu unapanga laini moja reeeeeeeeeeeeeefu imefika sijuui wapi..lol...life was bad!
manze ama kuwasha jiko ya makaa(makara)..kwanza kama hizo makaa zimenyeshewa utaitana!..unaweka makaratasi lakini jiko haibambi...manze labda udie...kwanza kama ni turn yako ya kuwasha jiko>>
unakumbuka ukwaju...ati ice ya ukwaju...those brown ones...lol!
manze KISSy na miss manzi yangu mwingine hapo mtaani alikua pandre...alikua akiishia st.peters clavers tao...
lol! aliniaribu hizo siku nikiwa primo...mpaka yukashikwa tukidinyana na yeye kwa bedroom ya mbuyu...lol!sitasahau hoyo risto!
manze alafu mbuyu alikua anavaa matroza zingine maflea mpaka mabeshte wanatuenjoi...mpaka tulikua tunaficha hizo troza zake flea siku za parents day ndio akam chuo na troza poa.
hiyo mirangi sasa we unasema nini na kila siku tulikuanga hapo mirangi!!
kumbuka siku za pumas(those things kwa vifuniko za soad)
puma stars..yaani unapuliza zinaturn hiyo side ingine!
kumbuka wale machokora walikua wanakam na madoggy mob wakizunguka..hee wacha tu
kumbuka ati umetumwa kwa kiosk mkatee nusu...(half loaf) kwanza ile ya elliots...halafu imefunikwa na gazeti hapo juu...hahha manze KISSy
maze ama unatoka kuplay unapata ati food imeeisha kwa hao saio unaskia ubao mbaya sana!you could kill someone.
ama those days in primo you cheat guyz vile mko na TV kumbe hamna..ni box kubwa mmefunika na kitambaa
ati msee akicheki mother ama father ya beshte unaaza kuwika wakudiro...tiririiing tirriiiraaaaaaaaang!..wakudish...
aki isich was the place...tha bomB! i miss those dayz bana..life hard lakini poa sana.....ati mnashindana mpepeto....lol! kunachali aliku anapepeta for 3 hrs...
hiyo hosi ya mother and chid..mpaka kulikua na hosi ingine calif imeandikwa "hospitari..instead of hospitali..till today!"
we KISSY unasema nini...unakumbuka machuma..nimesahau hiyo jina..yaani you go sell chuma ama metal...siku moja tuliuza gate ya ploti yetu...hahahahah..why lie.ama kuuza magazeti..ama chupa za soda.
leo niko chart room kutoka midnight...tokea tunego! unanibambisha sana...kwanza hiyo risto ya FAther RIchard sijasahau....LOL..we ni fala kISSY ulinichekesha vibaya..you brought me home..you are ma boy why lie!
|