RE: # 9 AREA CODE EASTLEIGH MASSIVE -
03-17-2004, 09:17 PM
@Kissy
bana wewe wacha zako!!
kwani uko wapi...lol! labda nakujua...hii mambo ganai bana..
hehehehehehehehe you made me laff kabisa...ati FAther Richard!!
hehehehehe...yuko bado ama alidedi? unakumbuka ile VOLKSWAGEN(VOKI)
yake ya blue...manze huyo mgoso alikua na bidii..he must be in Haven!!
hizo filo zake za "PASSION FOR CHRIST"..zilikua zinabamba massaa zake..
manze KISSy umeniwai...ati ile uwanjo ya btwn mutaro(mafishing) na Ainsworth primo ati place CITY walikua wakitrain HEHEHEHEHEH...zijacheka hivyo! why lie!
hiyo uwanjo ya DEZA hapo ni home kabisa.....hapo hapo...ukikua deza ushout jina yangu nitatokea...lol!
maze unakumbuka mpaka saint John's...kumbuka hiyo chuo ati Sant johns seko....wacha tu.
najua BIAFRA yote...suncity(huko niliwatch movie zote za kipandre...kina MIthun chakraboti...GOvinda! Amithab...hehehehe
manze zijawai cheka hivyo yaaaaaaaaaaani bado of all the things unakumbuka BUFFALLO..ile place ya chipo karibu na zile dinga za kupay na kudrive...hahahahahahaha...manze wewe ni home boy..uongo mbaya!
Hapo deza tuliplay mpaka tukachoka.
unakumbuka makaimati na samo na bahjia siku za ramadhani!!!
hehehe ati fighting siku za kufunga chuo..usinichekeshe..sikumoja tulikamata chali mwingine...joseph mungai akashangaaa!
hizo # tisa wachana nazo...zilituroga mbuyu!
Maze unakumbuka siku za maji kulost kwa ploti ama maziwa na shuge ati zimelost!!aki isich ni uchawi!! thats ma home men! i miss it!
leta risto mbuyu!...friday nitakua chart room mashada..kutoka midnight...tokea tunego....
we KISSY umeniroga mbuyu.....you brought memoriz hahahahahah bado nacheka risto ya FATHER RICHARD!
heee before niende..unakumbuka wonderport bar?....hahahaha
uko wapi?..isili Damu........Unakumbuka CITY HIGH! ilitingwa...GURU Nanak HIDH don bosco...guru na donii...hehehehe....unakumbuka YUSUF madoggy hapo karibu na chuo yenyu befrore u cross baro hiyo side ya BP..hiyo petro station mbele ya chuo yenyu(usinishow Gas station...mimi bado uita petro station)
unakumbuka zile book za kusanywa chuo zilikua zinakindwa hiyo raunda ya isich...manze ukisanyiwa unaishia kusakanya mbuk yako hapo raunda..maze life couldnt be better! WE enjoyed life ama aje kissy?
|