RE: ghai -
03-18-2005, 11:42 AM
>Lo MREMBO Sabalkheri lakini.
>Naona sasa umevaa kibwebwe ! Umeyachokoza mambo hali wengi ni >vipofu , wengi hapa hawajui chombo huendaje maji marefu hali >wataleta utumbo wakijaribu kukugeuza mnofu , wataleta ubwete >wakijaribu kukugeuza bifu.
>Lakini nieleze kidege haswa nani akuwasha na nani akuzima , lo nani >ndiyo fundi wako , fundi anayekupima kwa upana na urefu . Yule >fundi ambaye wakati mwingine hubiringisha mabogi pia ? Nieleze >binti tafazali .
Damn ! Insha should be left for Standard 8 kiddoz.
|