??????????? -
03-18-2005, 10:11 AM
>@SANAA
>
>Lo MREMBO Sabalkheri lakini.
>Naona sasa umevaa kibwebwe ! Umeyachokoza mambo hali wengi ni
>vipofu , wengi hapa hawajui chombo huendaje maji marefu hali
>wataleta utumbo wakijaribu kukugeuza mnofu , wataleta ubwete
>wakijaribu kukugeuza bifu.
>
>Lakini nieleze kidege haswa nani akuwasha na nani akuzima , lo
>nani ndiyo fundi wako , fundi anayekupima kwa upana na urefu .
>Yule fundi ambaye wakati mwingine hubiringisha mabogi pia ?
>Nieleze binti tafazali .
>
>
somebody translate this in French?? or even Xhosa, Njemps, heck whateva, ...... might be easier for me to nyita....... ;(
|