Thread: NI UKWELI?
View Single Post
(#9 (permalink))
Old
Mzungu-Mweusi Mzungu-Mweusi is offline
Senior Member
Mzungu-Mweusi is an unknown quantity at this point
 
Posts: 3,169
Join Date: Feb 2003
Location: Somewhere, KENYA, KENYA.
Report Post
Default RE: @mzungu-mweusi - 08-01-2005, 12:17 PM

>>Huyambo, Bwana Mavi. >
>
> Jambo la kwanza,mie si mwanaume,nilitaraji kupata majibu
>sanifu sio matusi kakangu,mie sikai ulaya,nilifanya kuuliza tu
>swali-kwa roho safi!
>
> Hapa mombasa,ndio vituko vya kushangaza hufanyika,lakini
>hata hivyo serikali imekaza vikwazo ili kujaribu kupunguza
>umalaya na vitendo vya ushoga.
> Mie hufanya biashara ya wholesale karibu na kongowea
>soko,lakini mambo niliyoyaskia kuhusu ulaya yalinishngaza
>mno!

Salaams Mavi joto. Lahaula,Muslimah mwenye jina Mavi Moto. Haya Basi.

Pole sina chuki. matusi sija ku tusi, ni maswali pia nimeuliza tu.

Kongowea, wana interneti sikuzi?.
 


Mpanda Ngazi Hushuka!
Reply With Quote