@mzungu-mweusi -
08-01-2005, 11:56 AM
>Huyambo, Bwana Mavi. >
Jambo la kwanza,mie si mwanaume,nilitaraji kupata majibu sanifu sio matusi kakangu,mie sikai ulaya,nilifanya kuuliza tu swali-kwa roho safi!
Hapa mombasa,ndio vituko vya kushangaza hufanyika,lakini hata hivyo serikali imekaza vikwazo ili kujaribu kupunguza umalaya na vitendo vya ushoga.
Mie hufanya biashara ya wholesale karibu na kongowea soko,lakini mambo niliyoyaskia kuhusu ulaya yalinishngaza mno!
|