Thread: NI UKWELI?
View Single Post
(#1 (permalink))
Old
MAVI MOTO MAVI MOTO is offline
Junior Member
MAVI MOTO
 
Posts: 8
Join Date: Jul 2005
Location: NYALI-MOMBASA, COAST, KENYA.
Report Post
Default NI UKWELI? - 08-01-2005, 06:23 AM

Shangazi wangu alikuwa ulaya juzi-Ujerumani,na akatuelezea visa vya kushangaza kweli!;Eti huko ulaya makahaba na malaya eti wako na vibali vya kufanya kazi!
Tena eti hawa ma homosexuals yaani mashoga wametambuliwa na serikali!Hapa pwani-ndio wako,lakini ni hatia kufanya vitendo kama hivyo,tena aibu kubwa kati ya majirani.
MI ni mu islamu na kamwe kama haya mambo ni ya ukweli,ulaya sikanyangi maishani mwangu.ALLAHU AKBAR!
 
Reply With Quote