Vijana na Kibaki,
Warembo na Kibaki,
Wanawake na Kibaki,
Makanga na Kibaki,
Wezi na Kibaki (Anglo-Leasing),
Moi na Kibaki,
Uhuru na Kibaki,
na Kadhalika na Kibaki.
Sasa watu wote na Kibaki.
Kibaki akibaki atamaliza mali yote iliyobakishwa na AngloLeasing!

